HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 11, 2019

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MAMA MARIA NYERERE LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mjane wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere,alipokwenda kumjulia hali leo,anakopatiwa matibabu jijini Dar 

 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsalimia na kumjuilia Hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anaepatiwa matibabu jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad