RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti 
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua wa 
Utekelezaji wa Mpango Kazi Wiizara ya Biashara Viwanda Zanzibar, katika 
Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Biashara na Viwanda 
Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali kulia na kushoto Naibu Katibu Mkuu 
Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Ali Khamis wakimsikiliza 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzu Mhe.Dk. Ali 
Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango wa Wizara ya 
Biashara na Viwanda kwa mwezi wa Julai 2018 na Marchi 2019, uliofanyika 
katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, wakiwa na Maofisa wa 
Idara za Wizara hiyo.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Biashara na Viwanda 
Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali akisoma taarifa ya Wizara yake 
wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, 
uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kulia Katibu Mkuu 
Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara 
ya Biashara na Viwanda Ndg. Ali Khamis.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Watendaji wa Idara za 
Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa 
Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, 
uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha na 
Ikulu)

MKURUGENZI wa Idara ya Biashara 
Ndg.Khamis Ahmada Shauri, akichangia wakati wa mkutano huo wa 
Utekelezaji wa Mpango Kazi, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni 
Zanzibar(Picha na Ikulu)

MKURUGENZI wa Idara ya Masoko 
Dkt. Abdallah Rashid Abdallah akichangia wakati wa mkutano huo wa 
Utekelezaji wa Mpango Kazi , uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo 
Kibweni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya 
Biashara na Viwanda Ndh Ali Khamis, akisoma taarifa ya Matumizi na 
Mapato ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizatra ya Biashara na Viwanda 
Zanzibar, wakati wa mkutano huo uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni 
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti 
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa 
Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, 
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha na 
Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti 
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa 
Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, 
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha na 
Ikulu)

MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la
 Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Dkt. ,Said Seif Mzee, akichangia 
wakati wa mkutano huo wea Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya 
Biashara na Viwanda katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha
 na Ikulu)


No comments:
Post a Comment