HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 1, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI CHUO KIKUU CHA MZUMBE MKOANI MBEYA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Taaluma na Utawala la chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Mbeya.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kukagua majengo ya Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Mbeya mara baada ya kuweka jiwe la msingi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa majengo ya Utawala na Taaluma katika chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la mkoani Mbeya.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad