HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 2, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI WA MBARALI MKOANI MBEYA

  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Barafu Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwahutubia wanachi.  Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Rujewa Wilayani Mbarali mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili katika uwanja huo wa mkatano wa Barafu.
 Wananchi wa Mbarali wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika uwanja wa Barafu.


 Sehemu ya wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Barafu Mbarali kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Barabara ya TANZAM highway sehemu ya  Igawa-Mbeya eneo la Igawa ikiwa katika mandhari ya kupendeza mara baada ya ukarabati mkubwa wa Barabara hiyo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad