HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 16, 2019

AIRTEL YAFANYA USAJILI KWA NJIA YA VIDOLE ENEO LA MTUMBA MJI WA SERIKALI

Airtel yaendeleza usajili kwa Watumishi mbalimbali kutoka Wizara na taasisi zake zilizopo katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambao ni wateja wa Airtel wakisajili laini zao kwa alama za vidole jana. Airtel inaendelea na usajili huo pia katika maduka yake zaidi ya 650 nchini. (Picha na Airtel).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad