HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 18, 2019

Wizara ya Habari yawasilisha Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Mwaka 2019/20

 Waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe akiwasilisha Bungeni Makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2019/20.
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza akimpongeza  Waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe baada ya kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2019/20.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2019/20 bungeni leo mjini Dodoma. Picha na Kelvin Kanje-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad