HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 1 April 2019

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KANUNI ZA BUNGE JIJINI DODOMASpika wa Bunge, Job Ndugai (Katikati) aongoza Kikao cha Kamati ya Kanuni za Bunge kilicholenga Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 Mbunge wa kaliua na Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge, Magdalena Sakaya akizungumza kwenye Kikao cha Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati ya Kanuni za Bunge kilicholenga Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
 Wajumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge wakiwa kwenye Kikao cha Kupokea na Kujadili Waraka wa Spika kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya nyongeza ya Nane katika Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari, 2016 kilichofanyika 01 Aprili, 2019 katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad