HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 25, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI NA RAIS PROF.MUTHARIKA WAZINDUA MASIMU WA SOKO LA TUMBAKU KANENGO - LILONGWE NCHINI MALAWI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara  Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
 Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe 
 Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akikagua Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya Rais Dkt.John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara  Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishangiliwa na Wanawake wa Lilongwe waliojitokeza katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kumlaki  mara baada ya kukagua Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara  nchini Malawi.Aprili 25, 2019.

 Watanzania wanaoishi nchini Malawi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kukagua Tumbaku alipotembelea katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara  nchini Malawi.Aprili 25, 2019. Sehemu ya Wananchi wa Malawi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli huku mmoja akionyesha Picha yake wakati wa Sherehe ya Uzinduzi wa msimu wa Soko la biashara ya Tumbaku katika shehere zilizofanyika  Kanengo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika,Mama Janeth Magufuli, Prof.Gertrude Mutharika Mke wa Rais wa Malawi huku wimbo wa Taifa wa Malawi Ukipigwa wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Msimu mpya wa Soko la Tumbaku zilizofanyika katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa Soko la Msimu mpya wa biashara ya Tumbaku katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe nchini Malawi.Aprili 25, 2019.

 Sehemu ya Wananchi wa Malawi wakimshangilia kwa nyimbo  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe wa Sherehe ya Uzinduzi wa msimu wa Soko la biashara ya Tumbaku katika shehere zilizofanyika  Kanengo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara  Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya kumkabidhi zawadi katika sherehe zilizofanyika Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara  Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mbele ya Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika na wananchi wa Malawi  katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara  Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
 Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akicheza ngoma pamoja na Mke wa Rais wa Malawi Prof.Grtrude Mutharika na Wanawake wa Malawi  katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe wakati wa sherehe za Uzinduzi wa msimu wa Soko la biashara  Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania unapigwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.Aprili 25, 2019.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride Lililoandaliwa na Jeshi la Malawi  kwaajili ya kumuuga katika  Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.Aprili 25, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania. Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kumuaga Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika  na Wananchi wa Malawi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.Aprili 25, 2019.

Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad