HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 18, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MBUNGE WA VITI MAALUMU GEITA VICKY KAMATA NA DADA WA MKUU WA MKOA WA PWANI DKT. EVARIST NDIKILO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa wameungana na familia ya marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata (wa tatu kushoto) ambaye  pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (wa kwanza kulia) kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata na pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (anayepeana naye mikono) kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata na pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata ambaye ni mtoto wa marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa Dkt Servacius Likwelile, mkwe wa marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata na pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa  marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata na pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa  marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata na pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa wameungana na familia ya marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata na pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakitoa sadaka wakati walipoungana na  familia ya marehemu Mama Paulina Kasama Selemani ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu wa Geita Mhe. Vicky Kamata (wa tatu kushoto) na pia ni dada yake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo (wa kwanza kulia) kwenye misa ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Machi 18, 2019.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad