HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 14, 2019

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI MJI WA SERIKALI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Naghenjwa Kaboyoka akiwaongoza Wajumbe wa Kamati hiyo kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora katika Mji wa Serikali uliyopo Ihumwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora katika Mji wa Serikali uliyopo Ihumwa Jijini Dodoma hii leo. Kushoto ni Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Felister Bura. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesbu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Naghenjwa Kaboyoka wakisikiliza maelezo ya mbunifu wa majengo kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Ndg Hamis Kileo walipokuwa wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora katika Mji wa Serikali uliyopo Ihumwa Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad