HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 15 February 2019

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI APOKEA GARI,AKEMEA POLISI KUSINDIKIZA BANGI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(katikati) akikabidhiwa gari la Polisi wilaya ya Arumeru lililofanyiwa matengenezo na kampuni ya Friedkin Conservation Fund Limited(FCFL) kwa gharama ya Sh 15 milioni na Mratibu wa kuzuia Ujangili wa kampuni hiyo,William Mallya,kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(kushoto) akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Friedkin Conservation Fund Limited baada ya hafla ya makabidhiano katika kituo cha Polisi Usa River.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola(kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro wakiwa katika kituo cha Polisi Usa River wakifurahia gari la polisi lililofanyiwa matengenezo na kampuni ya Friedkin Conservation Fund Limited kwa gharama ya Sh 15 milioni.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad