HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 15 February 2019

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MABALOZI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa India Nchini Sandeep Arya, ofisini kwake Magogoni Februari 15, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Misri Nchini Ibrahim Abdullah, ofisini kwake Magogoni Februari 15, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Falme za Kiarabu Nchini Ibrahim Abdullah, wakati akimkaribisha kwa mazungumzo, ofisini kwake Magogoni Februari 15, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad