HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 1 February 2019

TAASISI YA OCEAN ROAD YAWAFUNDA WAANDISHI KUHUSU SARATANI

 Mkurungenzi wa Huduma za kinga Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk. Crispin Kahesa akizungumza katika semina ya kuwjengea uwezo waandisi wa habari iliyofanjika leo katika ukumbi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road leo jijini Dar es Salaam.
 Daktari Bingwa wa Saratani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, Nanzake Mvungi akitoa elimu kuhusu  kinga dhidi ya saratani pamoja na huduma zitolewazo na kitengo cha kinga ya Saratani katika Hospitali hiyo.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
 Meneja  Elimu na Huduma za Uchunguzi Saratani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dkt. Maguhwa Stephano akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tiba ya mionzi pamoja na kuwaomba  wananchi waache dhana potofu juu ya tiba hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika semina hiyo iliyofanyika katika Taasisi ya Saratani Ocean Road jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad