HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 12 February 2019

SHIRIKA LA NDEGE LA RWANDAIR LAWAPELEKA MJINI KIGALI MAWAKALA WAO

Baadhi wa Mawakala wa ukatishaji tiketi za ndege nchini (Travel Agencies) wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention Center), walitembelea nchini Rwanda hivi karibuni kwa mwaliko wa Shirika la Ndege la RwandAir. Mawakala hao walipata fursa ya kumbelea maeneo mbalimbali ya Kumbukumbu yaliyopo mjini Kigali, nchini Rwanda.
Wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Jengo la Kumbukumbu ya Kampeni ya kuzuia Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda ambapo zamani lilikuwa Jengo la Bunge. Kushoto ni Mtangazaji wa kipindi cha Power BreakFast cha Radio Clouds FM, Barbara Hassan aliyeambatana na Mawahaka hao.
Wakiwa katika moja ya sehemu ya Makaburi ya halaiki yaliyopo kwenye eneo la Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari (Kigali Genocide Memorial).


No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad