HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 22 February 2019

MAJALIWA AWAFUNDA VIONGOZI WA WILAYA YA BIHARAMULO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Sada Malunde (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Wende Ng’ahara (wa tatu kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Agnes Rwakayonza (kushoto) katika kikao cha ndani cha kuwafunda viongozi hao kilichofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Februari 21, 2019. Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyakanazi wilayani Biharamulo, Februari 20, 2019, Mheshimiwa Majaliwa aliwaonya viongozi hao kumaliza tofauti zao ili kuwahudumia wananchi ipasavyo. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Berigedia Jenearli, Marco Gaguti (wa pili kulia) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Profesa Faustine Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad