HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 25 January 2019

WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA CWT TAIFA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Taifa, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 25, 2019. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais , Deus Seif, Mweka Hazina , Abubakar Allawi, Katibu Mkuu, Christopher Banda na Wapili kulia ni Rais wa CWT, Leah Ulaya.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad