HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 28 January 2019

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA KUWAIT,ETHIOPIA NA MISRI WALIPOFIKA IKULU ZANZIBAR KUJITAMBULISHA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulun Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,28-1-2019.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 28-1-2019, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Mubarak Mohammed Alsehaijan, wakitoka katika ukumbi baada ya kumaliza mazungumzo yao, alipofika kujitambulisha le Ikulu Zanzibar.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Mubarak Mohammed Alsehaijan, baada ya kumaliza mazungomzo yao yaliofanyika leo 28-1-2019, Ikulu Zanzibar.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania,Mhe.Yonas Yosef, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 28-1-2019.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania Mhe. Yonas Yosef, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,28-1-2019.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania Mhe. Yonas Yosef, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha.leo 28-1-2019.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania kulia Mhe.Yonas Yosef, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndh. Salum Maulid, na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gagu na Kaimu Mkurugenzi Idara Mambo ya Nje Zanzibar. Balozi Mahammed Hamza.(
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Gaber Mohamed, wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha leo,28-1-2019.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe.Gaber Mohamed, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo.28-1-2019.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake wakitoka katika ukumbi Balozi wa Misri Nchini Tanzania. Mhe. Gaber Mohamed, baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)   . 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad