HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, 9 December 2018

Salasala Washerehekea uhuru wa maji

DAWASA TUMEAHIDI NA TUMETEKELEZA SALASALA
Kazi ya kuunga wateja wa zamani katika mfumo mpya imekamilika. kazi hii iliyohusisha   ufungaji wa valves za inch 8" na inch 6" ilifanyika  usiku kucha kuamkia Dec 9, 2018. Hivi Sasa wananchi wa Salasala na sehemu ya  Kinzudi wameanza kupata maji kupitia mfumo mpya.Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wakiwa wanaendelea na ulazaji wa mabomba ya maji na  ufungaji wa valves za inch 8" na inch 6".


No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad