SAFARI NDANI YA MTO MNYERA- MALINYI MOROGORO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 13 December 2018

SAFARI NDANI YA MTO MNYERA- MALINYI MOROGORO

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ngombo wilaya ya Malinyi mkoa wa Morogoro  wakiwa katika Fibre  wakivuka mto  Mnyera, ambapo nauli ya kuvuka ni  nishilingi 500 na pikipiki,shilingi 3000.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG) 
 Wananchi wa jiji cha Ngombo wilaya ya Malinyi mkoa wa Morogoro wakipakiza pikipiki katika Fibra ilikuvuka mto Mnyera.ambapo pikipii moja wanalipa shilingi 3000.
Safari ya kuvuka mto Mnyera ukiendelea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad