HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 13, 2018

NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (kulia) akipewa maelezo kutoka kwa Mkuu wa Hifadhi ya Kisiwa cha Rubondo, Ignas Gara (katikati) mara baada ya kuwasili katika hifadhi ya kisiwa hicho ambapo  ambapo aliweza kuzungumza na watumishi wa Hifadhi hiyo  iliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Kushoto ni Afisa wanyamapori wa Hifadhi hiyo, Emmanuel Kaaya. 
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu (katikati) akipewa maelezo kutoka kwa Meneja wa Hoteli ya Asilia, Adam Juma (wa pili kulia) akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gara (wa pili kushoto) wakati alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa  ya  kisiwa cha Rubondo    ambapo aliweza kutembelea  hoteli hiyo iliyopo ndani ya  Hifadhi hiyo  iliyopo wilayani Chato mkoani Geita. Kulia ni Afisa wanyamapori wa Hifadhi hiyo, Emmanuel Kaaya na kulia ni Adrian William
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gara (kulia) wakiangalia baadhi ya picha kwenye simu ya Sokwe wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa  ya  kisiwa cha Rubondo, Kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo,Bw. Zulu Ng’ondya.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,  Constantine Kanyasu (katikati) akiwa pamoja na Mkuu wa Hifadhi hiyo, John Gara (kulia) wakiwa kwenye boti wakivuka  wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa  ya  kisiwa cha Rubondo, Kushoto ni Katibu wa Naibu Waziri huyo,Bw. Zulu Ng’ondya
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akisalimiana na baadhi ya watumishi   wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa  ya  kisiwa cha Rubondo.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akisaini kitabu cha wageni wakati Naibu Waziri huyo alipofanya ziara katika hifadhi ya Taifa  ya  kisiwa cha Rubondo.
Baadhi ya sehemu za kupumzika katika hifadhi ya Taifa  ya  kisiwa cha Rubondo.

(PICHA ZOTE NA LUSUNGU HELELA-WMU)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad