HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 5 November 2018

MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA HILO LEO

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa  Felix Maagi akimpokea Mkurugenzi Mkuu mpya Dk. Maulid Banyani katika ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa asubuhi ya leo ikiwa ni kwa mara ya kwanza kufika katika shirika hilo akiwa Mkurugenzi Mkuu.
 Mkurugenzi Mkuu  wa NHC akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Kitengo Mawasiliano na Huduma kwa Jamii  Yahya Charahani.
 Mkurugenzi Mkuu  akikaribishwa na Afisa Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa Bi. Domina Rwemanyila.

Meneja Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu  Aden Kitomari akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu Dkt Maulid Banyani wakati alipoingia rasmi katika Ofisi yake mpya.

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Felix Maagi akiwa na Mkurugenzi mpya wa NHC Dk. Maulid Banyani mara baada ya kuwasili katika ofisi za shirika la nyumba. Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa  Felix  Maagi akimtambulisha Mkurugenzi Mkuu mpya Dk. Maulid Banyani kwa Menejimenti ya Shirika
 Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko  Itandula Gambalagi akijitambulisha kwa Mkurugenzi Mkuu.
Kaimu Mkurugenzi wa Hazina na Uendelezaji Biashara William Genya akijitambulisha kwa Mkurugenzi Mkuu.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulid Banyani akisisitiza jambo kwa Menejimenti ya Shirika.


  Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Shirika la Nyumba la Taifa.


Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani akiwa katika ofisi kwake
 Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani akisaini kitabu cha wageni
Mkurugenzi Mkuu wa Mpya wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulid Banyani

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad