HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 20 October 2018

UPIMAJI WA MACHO

 Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho, Stanslaus Shanyeli wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
 Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Bunju B, Regina Mwakasungula wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
 Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Bunju B, Rehema Kasapale wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
 Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Keko, Betty Kyando wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.Daktari wa macho wa Hospitali ya Macho ya Kimataifa (The International Eye Hospital), Dk. Mahija Matola akimfanyia uchunguzi wa macho mkazi wa Keko,Leornard Lawrence wakati wa huduma ya upimaji wa macho bure ilisyoendeshwa kwa ushirikiano na Hospitali ya Heameda Medical Clinic ya Bunju B Dar es Salaam. Huduma hiyo ya bure ya siku mbili inatarajiwa kukamilika leo.
 (Na Mpiga Picha Wetu)       

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad