HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 19 October 2018

ULEGA AHIMIZA AMANI, WAFUGAJI KUJISAJILI

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi (Mb) wa Mkuranga,Abdallah Ulega akimkabidhi Mwenyekiti wa halmashauri na Diwani kata ya Magawa, Juma Abed vitanda viwili  vya kujifungulia.

 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,(Mb)wa Mkuranga,Abdallah Ulega  akimkabidhi Mwenyekiti wa halmashaul ya Mkuranga,Juma Abed mabati kwaajili ya ujenzi wa kituo cha afya  kata ya Magawa Wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani.
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na (Mb) wa Mkuranga,Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Kata ya Magawa.
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na (Mb) wa Mkuranga, Abdallah Ulega  akiwa kwakushiriki na Mwenyekiti Halmashaul wakikabidhi vijana wa kata ya Magawa mipila kumi kwaajili ya mazoezi.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globa ya jamii)
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi na (Mb)wa Mkuranga  Abdallah Ulega akipokea zawadi ya mbuzi kutoka kwa wafungaji wa Kata ya Magawa Wilaya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Mwenyekiti wa halmashauri ya Mkuranga,Juma Abed akiwajibu wanachi wa Kata ya Magawa kero mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad