HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 4 October 2018

TCRA SACCOS WAFANYA MKUTANO WAO WA SITA

 Mwakilishi Mrajisi wa Msaidizi wa Vyama vya Ushirika  na Afisa Ushirika Wilaya ya Ubungo, Omary Mkamba akifungua Mkutano Mkuu wa Sita wa TCRA SACCOS LTD uliofanyika leo katika ukumbi wa Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. 
 Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano nchini(TCRA) Dk. Raynold Mfungahewa akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa TCRA SACCOS LTD  kuhusiana na uanzishwaji wa TCRA SACCOS LTD na mchango wa mamlaka hiyo katika uanzishwaji huokwenye mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. 
 Mwenyekiti wa TCRA SCACCOS LTD  Erasto Mbilinyi akitaoa taarifa fupi kwa wajumbe na mgeni rasmi  katika Mkutano Mkuu wa Sita TCRA SCACCOS LTD uliofanyika leo katika ukumbi wa Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
 Makamu Mwenyekiti wa TCRA SACCOS Beatrice Lema akitoa maelezo ya dhamira ya kuanizishwa kwa TCRA SACCS LTD kwa ajili ya kuinua vipato vya watumishi katika mkutano mkuu wa sita wa SACCOS hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa mamlaka ya TCRA jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wanachama wa TCRA SACCOS wakifatilia mada mbalimbali katika  Mkutano Mkuu wa Sita wa SACCOS hiyo uliofanyika katika ukumbi wa TCRA leo jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya pamoja wanachama , wajumbe wa bodi pamoja na wageni kutoka SACCOS mbalimbali walioshirika Mkutano Mkuu wa Sita uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad