HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 16 October 2018

TAIFA STARS YAICHAPA CAPE VERDE NYUMBANI

Mchezo wa kufuzu Mataifa Afrika (AFCON) 2019 nchini Cameroon baina  ya Tmu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' na Cape Verde  unaendelea hapa Uwanja wa Taifa.

Taifa Stars wanaongoza kwa goli mbili zilizofungwa na Mshambuliaji wa DifaaEl Jadida ya Morocco Saimon Msuva dakika ya 29 akipokea pasi ya Mshambuliaji wa GRC Genk Mbwana Samatta.

Mpaka Mapumziko Taifa Stars wanatoka kifua mbele kwa goli 1-0.

Katika kipindi cha Pili, Samatta anaipatia Taifa Stars goli la pili akimalizia pasi ya Mudathiri Yahya.

Taifa Stars walifanya mabadiliko ya kumtoa Abdi Banda na kuingia John Bocco, Mudathir nafasi yake ikichukuliwa na Feisal Toto

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad