HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 11, 2018

Naibu Waziri Biteko Atoa Wiki Tatu Wamiliki wa Machimbo ya Jasi Same Kununua Vifaa vya Usalama Mahali pa Kazi

 Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko  akizungumza na  wachimbaji wadogo wa madini ya Jasi wakati wa kikao baina yake na wachimbaji hao jana katika eneo la Makanya  wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bi. Anne Claire Shija , Katibu Tawala wa Wilaya ya Same, Bw.  na Afisa Madini wa Mkoa wa Kilimanjaro Bi. Fatma Kyando.
 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro akizungumza wakati wa kikao baina ya Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko (kulia) na wachimbaji wadogo wa madini ya Jasi katika eneo la Makanya  wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro alipofanya ziara katika machimbo hayo jana.
 Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko  akizungumza na  wafanyakazi wa mgodi wa madini ya Jasi (Gypsum) alipofanya ziara katika eneo la uchimbaji wa madini hayo lililopo Makanya, Same mkoani Kilimanjaro jana.

 Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akitembelea eneo la uchimbaji wa madini ya Jasi (Gypsum) lililopo Makanya, Same mkoani Kilimanjaro jana tarehe 10/10/2018.
 Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko  akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Afisa Madini wa Mkoa wa Kilimanjaro Bi. Fatma Kyando (kushoto) wakati wa ziara yake katika eneo la uchimbaji wa madini Jasi (Gypsum) lililopo Makanya, Same mkoani Kilimanjaro jana. 
 Madini ya Jasi (Gypsum) yakiwa tayari baada ya kuchimbwa katika eneo la uchimbaji wa madini hayo lililoko Makanya, Same mkoani Kilimanjaro.

Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko  akitazama eneo la uchimbaji wa madini ya Jasi (Gypsum) lililopo Mkanya, Same mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake katika eneo hilo jana. (Picha zote na Idara ya Habari – MAELEZO, Same)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad