HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 12 October 2018

NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE

 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akipokea taarifa ya Askari watakao simamia Uchaguzi Mdogo wa Mbunge utakaofanyika mkoani Lindi wilaya ya Liwale Jimbo la Liwale siku ya kesho Jumamosi tarehe 13.10.2018 kutoka kwa Kamanda wa Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi  ACP Pudensiana Protas Kokuberwa. (Picha na Jeshi la Polisi)
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi  ACP Pudensiana Protas Kokuberwa akiongea na Askari Wilaya ya Liwale mkoani humo kabla yakwenda kusimamia Uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018. 
 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiongea na Askari wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kabla yakwenda kusimamia uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018.
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiongea na Askari wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kabla yakwenda kusimamia uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018. (Picha na Jeshi la Polisi).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad