HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 16, 2018

KAMATI YA UKIMWI YAKUTANA NA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA NCHINI

 Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Godfrey Mgimwa akichangia jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana hii leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa akielezea jambo alipokuwa akiongoza Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015 iliyowasilishwa na Watendaji kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya hapa nchini wakiongozwa na Kamishna Jenerali Rogers Siyanga.
 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakifuatilia jambo kwenye Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015 iliyowasilishwa na Watendaji kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya hapa nchini wakiongozwa na Kamishna Jenerali Rogers Siyanga.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Flatei Massay akichangia jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana hii leo Jijini Dodoma kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya kupambana na Dawa za Kulevya Na. 5 ya mwaka 2015. 

(Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad