Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman wakizungumza na Maofisa Wakuu wa Polisi waliopo Makao Makuu ya Polisi wakati wa kikao cha kuweka mikakati ya kuzuia na kupambana na rushwa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Mkurugenzi
 Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman (kushoto) wakati Mkurugenzi 
huyo na ujumbe wake walipotembelea Makao Makao Makuu ya Polisi na 
kufanya kikao na Maofisa Wakuu wa Polisi kwa lengo la kuweka mikakati ya
 kuzuia na kupambana na rushwa. Wengine ni Naibu Mkurugenzi Mkuu 
Brigedia Jenerali John Mbungo na Kamishna wa Utawala na Raslimali watu 
Albert Nyamhanga. (Picha na Jeshi la Polisi).
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na Mkurugenzi Mkuu wa 
TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman wakiwa katika picha ya pamoja na 
Maofisa na Viongozi wengine baada ya kumaliza kikao kwa lengo la 
kuongeza kasi katika kuzuia na kupambana na rushwa. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiagana na Mkurugenzi 
Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman baada ya kumaliza kikao na 
Maofisa Wakuu wa Polisi Makao Makuu ya Polisi kwa lengo la kuongeza kasi
 katika kuzuia na kupambana na rushwa. (Picha na Jeshi la Polisi)
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment