Dkt. Ndumbaro Akutana na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 18 October 2018

Dkt. Ndumbaro Akutana na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akisalimiana na Mkuu Kitengo cha Fedha na Uhasibu cha Wizara hiyo Bw. Paul Kabale leo kabla ya kukutana na baadhi wa viongozi wa Wizara hiyo katika Ofisi zake zilizopo Mtaa wa Makole Jengo la LAPF jijini Dodoma na aliyesimama pembeni ni Bw. Mapesi Manyama Mkurugenzi Kitengo cha Ununuzi na Ugavi.
Naibu Waziri Mhe. Dkt. Ndumbaro (Mb) akisalimiana na Bw. Japhary Kachenje Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad