HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 15, 2018

BREAKING NEWS: ATAKAYESAIDIA KUPATIKANA KWA MOHAMED DEWJI KUZAWADIWA BILIONI MOJA NA FAMILIA

Familia ya Mohamed Dewji wametangaza zawadi ya Shilling Bilioni 1 kwa mtu atakayefanikiwa kutoa taarifa ya kupatikana kwa Mtoto wao Mohamed Dewji.

Azim Dewji amesema kuwa atakayefanikiwa kutoa taarifa hiyo kwa mtoto wao siri hiyo itabaki baina ya familia na muhusika.

Azim amesema kuwa taarifa za mahala alipo mtoto wao apatiwa Mukhtasa Dewji kupitia Nambari za simu 0755030014 na 0717208478

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad