Mfanyabiashara wa samaki waliokaushwa katika soko la Kiwalani Dar es Salaam akiwawauzia samaki wananchi wa eneo hilo ambapo samaki moja unza 1000 hadi 6000(Picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
Mfanyabiashara wa viungo vya mboga katika soko la Kiwalani jijini Dar es Salaam akiwauzia wananchi ambapo fungu la nyanya linauzwa kwa Sh 200 hadi 300.
No comments:
Post a Comment