Mratibu wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA Latifa Ayoub akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la ardhi mkoani Tanga leo mjini Tanga kuhusu changamoto zinazowakabili wanawake kwenye kumiliki ardhi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa YDC Jijini Tanga ukihusisha wadau kutoka maeneo mbalimbali ulioandaliwa na chama hicho.
Mratibu wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania Mkoani Tanga TAWLA Latifa Ayoub kulia akisisitiza jambo wakati wa mdahalo wa wadau wa masuala la ardhi mkoani Tanga leo mjini Tanga
kuhusu changamoto zinazowakabili wanawake kwenye kumiliki ardhi kushoto ni Mwanasheria wa TAWLA Mkoani Tanga Mwanaidi Kombo ambapo mdahalo huo uliandaliwa na chama hicho
MWANASHERIA wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika Sigisbert Akwilini akiwa na wadau wengine wakifuatilia mdahalo huo ambao uliandaliwa na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) mkoani Tanga
Madiwani wa Kata za Chumbangeni Saida Gadafi CCM) kushoto akiwa na Diwani wa Kata ya Majengo (CUF) Suleimani Mbaruku wakifuatilia mdahalo huo
MWANASHERIA wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza mkoani Tanga Sigisbert Akwilini akichangia kwenye mdahalo huo
Diwani wa Kata ya Majengo (CUF) Suleimani Mbaruku.
No comments:
Post a Comment