Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Meatu mjini mkoani Simiyu mara baada ya
kuwasili wakati akitokea Bariadi.
Sehemu ya Wananchi wa Meatu wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa
akizungumza katika viwanja vya Meatu mjini.
Ngoma ya kichungaji ya Budimi ya Meatu ikitoa burudani mara baada ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
kuwasili Meatu mjini mkoani Simiyu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Meatu mjini kwa ajili ya kuhutubia katika mkutano wa hadhara. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment