Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu akiwa njiani
kuelekea Wilaya ya Meatu mkoani humo. Picha na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Kisesa mkoani Simiyu wakati akiwa njiani
kuelekea Meatu mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mwankoli(hawaonekani pichani) katika jimbo la Kisesa mkoani Simiyu. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment