HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 12 September 2018

CHUO KIKUU ARDHI CHAANZA KUTUMIA NDEGE TIARA KATIKA UKUSANYAJI TAARIFA NA USOMAJI RAMANI NCHINI

Mtaalam wa ndege tiara kutoka kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Yu Jing Run akiiandaa ndege tiara tayari kwa kuirusha katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Septemba 12 2018, wakati wa uzinduzi wa ndege hiyo itakayokusanya taarifa na upimaji ramani. Wanaoshuhudia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (wa tatu kushoto), Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (Taaluma), Profesa Gabriel Kassenga na wana taaluma mbalimbali. 

Mhandisi upimaji ramani wa kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Ren Ya Feng akitoa muhtasari wa jinsi ndege tiara inavyofanya kazi muda mfupi kabla ya kuirusha kwa upigaji picha jijini cha Dar es Salaam Septemba 12 2018. Katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa, Naibu Mkuu wa chuo Kikuu Ardhi (Taaluma), Profesa Gabriel Kassenga (Kushoto Makamu Mkuu) na wana taaluma mbalimbali. 

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wageni na wataalam walioshiriki uzinduzi huo. 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wageni na wataalam walioshiriki uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad