HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 1, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA MANAIBU KATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela kuwa mkuu wa mkoa wa Songwe  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimuapisha Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018 .
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha Ally Salum Hapi kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha  Andrew Wilson Massawe kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha Jilly Elibariki maleko kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara wenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha Kalolina Albert Mthapula kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha  Dkt. Jim james Yonazi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano)  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018
 Viongozi wa dini wakiomba dua kwenye hafla ya kuapisha wateule mbalimbali iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea baada ya kuapisha viongozi wateule  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza  Brigedia  Jenerali Nicodemus Elia Mwangela aliyemwapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe huku Brigedia Jenerali Marcho Elisha Gaguti aliyemuapisha kuwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akisubiri zamu yake  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza Ally Salum Hapi  aliyemwapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa   kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza Albert Chalamila  aliyemwapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza  Andrew Wilson Massawe aliyemwapisha kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza  David Zacharia Kafulika aliyemwapisha kuwa Katibu8 tawala wa Mkoa wa Songwe  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimpongeza  Jim James Yonazi  aliyemwapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu wa  Dkt. Jim James Yonazi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano)  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Jaji Kiongozi Dkt. Fereshi wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu, Naibu makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Katibu wa Mikoa walioapishwa kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Jaji Kiongozi Dkt. Fereshi wakiwa katika picha ya pamoja Wakuu wa Mikoa wa Zamani na   walioapishwa kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018.

Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad