Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya
kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko
jijini Dar es Salaam, akishuhudiwa na mke wake Frida Saimoni (kushoto
)akikabidhiwa na Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam, na
Pwani, George Lugata funguo za gari wakati wa hafla iliyofanyika
katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne
ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George
Lugata,(kulia) akimkabidhi Kadi na Funguo za gari mshindi wa sita wa
gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi
ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo ambaye ni mkazi wa Boko jijini Dar es
Salaam, wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini
Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom
unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya
kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo ambaye ni mkazi wa
Boko jijini Dar es Salaam, akitoa ushuhuda jinsi alivyojishindia gari
kwa waandishi wa habari wakati wa hafla kumkabidhi gari hiyo
iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam Yamebakia
magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya
M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#kushoto ni mkuu wa Vodacom Tanzania Plc,
Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata na Balozi wa M-Pesa
Idrisa Sultan (kulia)
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc,
Jacqueline Materu akiongea kwa waandishi wa Habari pamoja na wananchi
waliojitokeza kwenye viwanja vya Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati wa
hafla kumkabidhi Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la
promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo .
Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia
huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#
Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George
Lugata,(kushoto) akimkabidhi Abdukarim Mkwava mfano wa hundi yenye
thamani ya shilingi milioni 1 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni
ya M-Pesa habari wakati wa hafla kumkabidhi gari mshindi wa sita
Batholomeo Kanjo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es
alaam . Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa
kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#
Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George
Lugata,(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi
milioni 1 mkazi wa Mwenge Samweli Joseph baada ya kuibuka mshindi wa
promosheni ya M-Pesa , wakati wa hafla kumkabidhi gari aina ya
Renault Kwid mshindi wa sita Batholomeo Kanjo iliyofanyika katika
Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam . Yamebakia magari Manne ili
kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa
Kupiga *150*00# wapili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na
Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwagota Kulia ni Mkuu wa Kitengo
cha Bidhaa M-Pesa Happymark Mbeteni.
Balozi wa Miaka 10 ya M-Pesa Idrisa Sultan, akionge na wananchi
waliojitokezwa kwenye viwanja vya Mwenge wakati wa hafla ya kumkabidhi
mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya
kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko
jijini Dar es Salaam. Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa
Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#
Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo (watatu kushoto) akitoa ushuhuda njisi alivyoibuka mshindi wa Promosheni ya M-Pesa wakati wa hafla kumkabidhi gari hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es huku akishuhudiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacqueline Materu( kushoto) Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata, Balozi wa M-Pesa Idrisa Sultan, Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwagota na Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Happymark Mbeteni. Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#
No comments:
Post a Comment