HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 4 August 2018

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAZINGIRA YA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati ya Mazingira ya Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipitia moja ya makablasha wakati akiongoza kikao cha Kamati ya Mazingira ya Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi mara baada ya kumaliza kikao cha Kamati ya Mazingira ya Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad