HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 16, 2018

JESHI LA POLISI LAWATAKA WANANCHI WILAYANI MISUNGWI MKOANI MWANZA KUTOA USHIRIKIANO JUU YA UHALIFU UNAOENDELEA MAENEO HAYO

 Mkuu Wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Liberates Sabas, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Nyamayinza, Tarafa ya Inonelwa, Kata Gulumangu ya, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kuhusu kushirikiana na Jeshi la Polisi kwaajili ya  kukabiliana na mauaji ya wanawake yanayotokana na imani za kishirikina yaliyotokea maeneo hayo siku za hivi karibuni.
 Mkuu Wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Liberates Sabas, akizungumza na viongozi wa serikali za Mtaa na Kata katika Kijiji cha Lubili, Kata ya Lubili,Tarafa ya Mbarika wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza kuhusu kushirikiana na Jeshi la Polisi kwaajili ya  kukabiliana na mauaji ya wanawake yanayotokana na imani za kishirikina yaliyotokea maeneo hayo siku za hivi karibuni.

Mkuu Wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Liberates Sabas, akiwa katika picha ya pamoja na  Viongozi wa Serikali za Mtaa na Kata katika Kijiji cha Lubili, Kata ya Lubili, Tarafa ya Mbarika wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza baada ya kumaliza kikao.
 Mkuu Wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi, Naibu Kamishna (DCP) Liberates Sabas, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Nyamayinza, Tarafa ya Inonelwa, Kata Gulumangu ya, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kuhusu kushirikiana na Jeshi la Polisi kwaajili ya  kukabiliana na mauaji ya wanawake yanayotokana na imani za kishirikina yaliyotokea maeneo hayo siku za hivi karibuni. (Picha na Jeshi la Polisi).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad