HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 11 July 2018

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WATALAAMU WA UTAFITI WA MAZAO YA KILIMO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watafiti wa Mazao ya Kilimo kutoka Kituo cha Utafiti cha Mikocheni jijini Dar es Salaam, Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania, kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam Julai 11, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga na Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Japhet Justine.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad