HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 10 July 2018

NEC yafanya mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Semistocles Kaijage akifafanua jambo kwa viongozi wa vyama vya siasa nchini (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
 Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Semistocles Kaijage (hayupo pichani) kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
  Baadhi ya watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Semistocles Kaijage (hayupo pichani) kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Athumani Kihamia akifafanua jambo kwa viongozi wa vyama vya siasa nchini na watendaji wa Tume hiyo kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu, Semistocles Kaijage (mwenye tai nyeupe) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa tume hiyo pamoja na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa mara baada ya kueleza taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi mdogo wa Ubunge na Madiwani utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu. Picha na MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad