HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 4 July 2018

MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza katika kikao kilichowakutanisha Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya, baada ya kuwasili jijini hapo kwa ziara ya kikazi.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akisalimiana na Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya, Mratibu wa Polisi, Leopard Fungu, baada ya kuwasili jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akiongozana na Kamanda wa Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi, Fortunatus Musilimu (wakwanza kulia), baada ya kuwasili jijini Mbeya leo  kwa ziara ya kikazi.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwele, akimuongoza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, kusalimiana na wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege Songwe, baada ya kuwasili jijini Mbeya, leo kwa ziara ya kikazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad