HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 15 June 2018

WATEJA WA EXIM BENKI WADOGO NA WAKUBWA WAFUTALISHWA


 Caption PIC7: Wateja wa Exim Bank Zanzibar wakifuturu wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake, hafla hiyo ilifanyika Verde Hoteli iliopo Mtoni Unguja.
 Wateja wa benki ya Exim mkoani Tanga wakipata futari wakati wa halfa ya Iftar iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wao juzi katika hoteli ya Mkonge kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan mjini Tanga.
  Mbunge wa Jimbo la Chumbuni, Ussi Salum Pondeza akisalimiana na Wafanyakazi wa Benki ya EXIM tawi la Zanzibar , wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wake, hafla hiyo ilifanyika Verde Hoteli iliopo Mtoni Unguja.
Wateja wa benki ya Exim mkoani Mtwara wakipata futari wakati wa halfa ya Iftar iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wao juzi katika hoteli ya Naf Apartments kuwashukuru na kuamaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan mjini humo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad