HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 30 June 2018

SPIKA NDUGAI AZINDUA SAFARI YA CHUO CHA IFM KUHAMIA JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Safari ya kuelekea Dodoma ya Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)  pamoja na uzinduzi wa kozi Shahada ya Uzamili katika fani ya Fedha na Uwekezaji iliyoanza kutolewa na Chuo hicho Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizindua kitabu cha Kozi ya Shahada ya Uzamili katika fani ya Fedha na Uwekezaji inayoanza kutolewa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni  Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akionyesha kitabu cha Kozi ya Shahada ya Uzamili katika fani ya Fedha na Uwekezaji inayoanza kutolewa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji na Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara na Uwekezaji , Profesa Elisante Ole Gabriel. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta (kushoto kwa Mhe. Spika), Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha IFM, Profesa Lettice Kinunda na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe. Hafla hiyo imefanyika leo Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizindua ramani ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) inayotarajiwa kujengwa Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta (kushoto kwa Mhe. Spika) na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akionyesha ramani ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) inayotarajiwa kujengwa Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta (kushoto kwa Mhe. Spika) na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad