Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Mohamed Bakari akizungumza 
katika hafla ya kuwatunukia wanafunzi Kidato cha Nne na cha Tano 
waliofanya vizuri kitaifa katika masomo ya Sayansi, Baioloji na Kemia 
iliyofanyika kwenye makao makuu ya Mamlaka ya Maabara ya  Mkemia Mkuu wa 
Serikali barabara ya Barack Obama jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Maabara  ya 
Mkemia mkuu wa Serikali Profesa Esther Hellen Jason akizungumza katika hafla hiyo 
iliyofanyika makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es salaam.
Mkemia Mkuu wa Serikali  
Dk Fidelice Mafumiko  akizungumza na kutoa maelezo kadhaa wakati wa kuwatunikia zawadi 
wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya Sayansi, Kemia na Baioloji 
katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam.
 Picha mbalimbali zikionyesha wanafunzi wakipokea vyeti na zawadi katika hafla hiyo.
 Picha mbalimbali zikionyesha wanafunzi wakipokea vyeti na zawadi katika hafla hiyo.
Baadhi ya wazazi wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wanafunzi waliotunukiwa zawadi wakifuatilia hafla hiyo. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakiwa katika hafla hiyo
Mgeni rasmi kutoka wizara ya afya ambaye ni mganga mkuu wa 
serikali Profesa Mohamed Bakari pamoja na viongozi wa  Mamlaka ya Maabara 
ya  Mkemia mkuu wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi 
hao. 











 

No comments:
Post a Comment