HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 4 May 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA ILULA, RUAHA MBUYUNI NA RUAHA DARAJANI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI MOROGORO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilula mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Morogoro.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruaha mbuyuni mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Morogoro.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruaha darajani mara bada ya kuingia mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa  Mikumi wakati akiueleka Kidatu mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad