Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha wazee wa Kihehe kwenye hafla ya chakula cha jioni aliyowaandalia wao pamoja na viongozi wa dini, siasa na wa TUCTA katika Ikulu ndogo ya mjini Iringa usiku wa Mei Mosi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza Naibu Chifu wa Wahehe Gerald Malangalila akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wakielezea historia ya Iringa katika hafla hiyo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahigaakisimulia historia ya machifuIringa katika hafla hiyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha wazee wa Kihehe kujipatia chakula cha jioni aliyowaandalia wao pamoja na viongozi wa dini, siasa na wa TUCTA katika Ikulu ndogo ya mjini Iringa usiku wa Mei Mosi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wageni wengine wakimsikikiza Mbunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya CHADEMA Mch. Peter Msigwa akiongea machache wakati wa hafla hiyo ya chakula cha jioni Ikulu ndogo ya mjini Iringa usiku wa Mei Mosi
Madiwani wa kata mbalimbali za mji wa Iringa waliohamia CCM kutoka CHADEMA wakijitambulisha kwenye hafla hiyo. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment