HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 29 May 2018

EXIM BANK YAFUTURISHA WATEJA WAKE MWANZA Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya Exim Fredrick Kanga, akizungumza na wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza wakati wa hafla ya Futar iliyoandaliwa na benki hiyo.
 Meneja wa Benki ya Exim tawi la Mwanza Deo Makwaia, akizungumza na wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza wakati wa hafla ya Futar iliyoandaliwa na benki hiyo.
 Mkurugenzi wa jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba,akichukua Futar, wakati wa hafla ya  kufuturu iliyoandaliwa na benki hiyo jijini humo. 
 Wateja wa Benki ya Exim Mwanza wakichukua Futar, wakati wa hafla ya  kufuturu iliyoandaliwa na benki hiyo juzi.
Wateja wa Benki ya Exim wakifuturu, wakati wa hafla ya  futar iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Mwanza juzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad