HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 10 April 2018

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akiongoza kikao cha bunge mjini Dodoma Aprili 10, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2018/2019 bungeni mjini Dodoma , Aprili10, 2018.
Waziri, wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt, Harrison Mwayembe akteta na Naibu wake, Juliana Shonza, bungeni mjini Dodoma Aprili10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Mawaziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Stella Ikupa Alex (kushoto) na Antony Mavunde wakiteta bungeni mjini Dodoma, Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Stella Ikupa Alex akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde wakishangilia bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2018 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama Akiteta na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma Aprili 10, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani wa Rwanda ambaye sasa ni Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Pierre-Celestine Rwigema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 10, 2018. Kushoto ni Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mshariki kutoka Burundi, Mhe. Muhirwa Jean – Marie.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Rwanda ambaye sasa ni Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Pierre-Celestine Rwigema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 10, 2018. Kushoto ni Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mshariki kutoka Burundi, Mhe. Muhirwa Jean – Marie. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisakisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Martin Ngoga Kalori kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma, Aprili 10, 2018. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Viti, Maalum, Zaynab Vullu (kulia) na Shally Raymond kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aporili 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad